sw_pro_text_reg/18/21.txt

1 line
171 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 21 Uzima na kifo hutawaliwa kwa ulimi, na wale wenye kuupenda ulimi watakula tunda lake. \v 22 Yeye apataye mke anapata kitu chema na kupokea fadhila kutoka kwa Yehova.