1 line
151 B
Plaintext
1 line
151 B
Plaintext
|
\v 3 Macho ya Yehova yapo kila mahali, yakiwatazama juu ya waovu na wema. \v 4 Ulimi unaoponya ni mti wa uzima, bali ulimi wa udanganyifu huvunja moyo.
|