sw_neh_text_reg/11/01.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 1 Viongozi wa watu waliishi Yerusalemu, na watu wengine walipiga kura ili kuleta mmoja kati ya watu kumi kuishi Yerusalemu, mji mtakatifu, na wengine tisa walibakia katika miji mingine. \v 2 Na watu wakawabariki wote waliojitoa kwa hiari kuishi Yerusalemu.