sw_neh_text_reg/11/25.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 25 Kuhusu vijiji na mashamba yao, baadhi ya watu wa Yuda wakakaa Kiriath-arba, na vijiji vyake, na Diboni, na vijiji vyake, na Yekabzeeli na vijiji vyake. \v 26 Wakaishi katika Yeshua, Molada, Beth-Peleti, \v 27 Hazar-Shuali, Beersheba na vijiji vyake.