sw_neh_text_reg/09/11.txt

1 line
156 B
Plaintext

\v 11 Ukagawanya bahari mbele yao, wakavuka katikati ya bahari juu ya nchi kavu; na ukawatupa wale waliokuwa ndani ya kina, kama jiwe ndani ya maji ya kina.