sw_neh_text_reg/11/31.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 31 Watu wa Benyamini pia walikuwa wakiishi kutoka Geba, kwenda Mikmashi na Aiya, na Beth-eli na vijiji vyake. \v 32 Waliishi Anathothi, Nobu, Anania, \v 33 Hazori, Rama, Gitaimu, \v 34 Hadidi, Seboimu, Nebalati, \v 35 Lodi, na Ono, bonde la wafundi. \v 36 Walawi wengine waliishi Yuda wengine Benyamini.