sw_neh_text_reg/05/12.txt

1 line
433 B
Plaintext

\v 12 Wakasema, "Tutarudisha kile tulichochukua kutoka kwao, wala hatutahitaji kitu kutoka kwao. Tutafanya kama unavyosema." Ndipo nikawaita makuhani, na kuwaapisha kuwafanya kama walivyoahidi. \v 13 Nikakung'uta vazi langu, nikasema, "Basi Mungu aondoe nyumba na mali ya kila mtu asiyetimiza ahadi yake. Kwa hiyo akung'utwe na kuwa hana kitu. Kusanyiko lote likasema "Amina," na wakamsifu Bwana. Na watu wakafanya kama walivyoahidi.