sw_neh_text_reg/05/01.txt

1 line
385 B
Plaintext

\v 1 Kisha wale wanaume na wake zao wakalia kwa nguvu dhidi ya Wayahudi wenzao. \v 2 Kwa maana kulikuwa na baadhi ya watu ambao walisema, "Sisi na wana wetu na binti zetu tupo wengi. Basi hebu tupate nafaka tuweze kula na tukae tuishi." \v 3 Pia kulikuwa na baadhi ya watu ambao walisema, "Tunaweka rehani mashamba yetu, mizabibu yetu, na nyumba zetu ili tupate nafaka wakati wa njaa."