sw_neh_text_reg/02/17.txt

1 line
399 B
Plaintext

\v 17 Nikawaambia, "Unaona shida tuliyo nayo, jinsi Yerusalemu iko katika magofu na milango yake imeharibiwa kwa moto. Njoni, tujenge upya ukuta wa Yerusalemu, ili tusiwe na aibu tena." \v 18 Niliwaambia kuwa mkono mzuri wa Mungu wangu ulikuwa juu yangu na pia kuhusu maneno ya mfalme ambayo aliniambia. Wakasema, "Hebu tuondoke na kujenga." Kwa hiyo wakaimarisha mikono yao kwa ajili ya kazi nzuri.