sw_neh_text_reg/02/11.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 11 Basi, nikarudi Yerusalemu, na nilikuwa huko siku tatu. \v 12 Niliamka usiku, mimi na watu wachache pamoja nami. Sikumwambia mtu yeyote kile Mungu wangu alichoweka ndani ya moyo wangu kufanya Yerusalemu. Hakukuwa na mnyama pamoja nami, isipokuwa yule niliyekuwa nimempanda.