sw_neh_text_reg/02/04.txt

1 line
431 B
Plaintext

\v 4 Ndipo mfalme akaniambia, "Unataka nini nifanye?" Kwa hiyo nikamwomba Mungu wa mbinguni. \v 5 Nikamwambia mfalme, "Mfalme akiona vema, na ikiwa mtumishi wako amefanya vizuri machoni pako, unaweza kuniluhusu niendeYuda, mji wa kaburi za baba zangu, ili nipate kuujenga tena." \v 6 Mfalme akanijibu (na malkia pia alikuwa amekaa karibu naye), "Utakaa kawa muda gani mpaka urudi?" Mfalme akaona vema kunipeleka nami nikampka muda.