sw_neh_text_reg/02/01.txt

1 line
312 B
Plaintext

\c 2 \v 1 Katika mwezi wa Kwanza, katika mwaka wa ishirini wa mfalme Artashasta, alichagua divai, na nikachukua divai na kumpa mfalme. Sasa sikuwahi kusikitika mbele yake. \v 2 Lakini mfalme akaniambia, "Kwa nini uso wako una huzuni? Hauonekani kuwa mgonjwa. Hii lazima iwe huzuni ya moyo." Kisha nikaogopa sana.