diff --git a/06/01.txt b/06/01.txt index f0ff604..20a8e1a 100644 --- a/06/01.txt +++ b/06/01.txt @@ -1 +1 @@ -\v 1 Wakati Sanbalati, Tobia, Geshemu Mwarabu na adui zetu wengine waliposikia kwamba nilijenga upya ukuta na kwamba hakuna sehemu yoyote iliyoachwa ya wazi, ingawa sijawaweka milango katika malango, \v 2 Sanbalati na Geshemu akatuma wajumbe akasema, "Njoni, tukutane pamoja mahali fulani katika tambarare ya Ono." Lakini walitaka kunidhuru. \ No newline at end of file +\c 6 \v 1 Wakati Sanbalati, Tobia, Geshemu Mwarabu na adui zetu wengine waliposikia kwamba nilijenga upya ukuta na kwamba hakuna sehemu yoyote iliyoachwa wazi, ingawa sijawaweka milango katika malango, \v 2 Sanbalati na Geshemu akatuma wajumbe akasema, "Njoni, tukutane pamoja mahali fulani katika tambarare ya Ono." Lakini walitaka kunidhuru. \ No newline at end of file