diff --git a/02/01.txt b/02/01.txt index 052340b..5c2b088 100644 --- a/02/01.txt +++ b/02/01.txt @@ -1 +1 @@ -\v 1 Katika mwezi wa Nisani, katika mwaka wa ishirini wa mfalme Artashasta, alichagua divai, na nikachukua divai na kumpa mfalme. Sasa sikuwahi kusikitikaa mbele yake. \v 2 Lakini mfalme akaniambia, "Kwa nini uso wako una huzuni? Hauonekani kuwa mgonjwa. Hii lazima iwe huzuni ya moyo." Kisha nikaogopa sana. \ No newline at end of file +\c 2 \v 1 Katika mwezi wa Kwanza, katika mwaka wa ishirini wa mfalme Artashasta, alichagua divai, na nikachukua divai na kumpa mfalme. Sasa sikuwahi kusikitika mbele yake. \v 2 Lakini mfalme akaniambia, "Kwa nini uso wako una huzuni? Hauonekani kuwa mgonjwa. Hii lazima iwe huzuni ya moyo." Kisha nikaogopa sana. \ No newline at end of file