sw_neh_text_reg/03/11.txt

1 line
228 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 11 Malkiya mwana wa Harimu na Hashubu mwana wa Pahat Moabu, walijenga sehemu nyingine pamoja na mnara wa tanuu. \v 12 Baada yao Shalumu mwana wa Haloheshi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, akajenga, pamoja na binti zake.