sw_neh_text_reg/08/18.txt

1 line
202 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 18 Pia siku kwa siku, tangu siku ya kwanza hadi mwisho, Ezra alisoma kutoka Kitabu cha Sheria ya Mungu. Walifanya sikukuu kwa siku saba na siku ya nane kulikuwa na kusanyiko zuri, kwa utiifu wa amri.