1 line
313 B
Plaintext
1 line
313 B
Plaintext
\v 22 Yeye hafikiri kwamba yeye atarudi kutoka katika giza; Upanga humngojea yeye. \v 23 Yeye huenda sehemu mbali mbali kwa ajili ya mkate, akisema, 'Kiko wapi? ' Yeye anatambua kuwa siku ya giza iko mkononi. \v 24 Dhiki na mateso makali humfanya aogope; wao hushinda dhidi yake yeye, kama mfalme tayari kwa vita. |