\v 8 Ikiwa wamefungwa minyororo na kunaswa katika kamba za mateso, \v 9 kisha huwafunulia kile walichokifanya, na maovu yao na kiburi chao.