|
\v 15 Pia, mzinifu hungoja wakati wa usiku; husema, 'Hakuna anionaye.' Hujibadilisha. \v 16 Waovu huingia katika nyumba gizani, lakini hujifungia wakati wa mchana; hawajari nuru. \v 17 Kwa kuwa asubuhi kwao wote ni kama giza totoro; wanaamani na vitisho vya giza totoro. |