\v 11 Je, sikio haliyajaribu maneno kama vile kaakaa lionjavyo chakula chake? \v 12 Kwa wazee mna hekima; katika wingi wa siku mna ufahamu.