sw_job_text_reg/41/28.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 28 Mshale hauwezi akamfanya akimbie; kwake yeye mawe ya kombeo huwa kama makapi. \v 29 Marungu huyaangalia kama majani makavu; yeye hucheka juu ya mkuki unaovuma. \v 30 Sehemu zake za chini zi kama vipande vilivyochongoka vya vyungu; huacha alama zilizosambaa katika udongo kana kwamba alikuwa ni chombo cha kusagia.