sw_job_text_reg/41/25.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 25 Na anaposimama mwenyewe, hata miungu huogopa; hurudi nyuma kwasababu ya hofu. \v 26 Na ikiwa atapigwa kwa upanga, hauwezi kumfanya kitu chochote, wala mkuki, wala mshale, wala aina yoyote ya silaha iliyochongoka. \v 27 Yeye hufikiri juu ya chuma kana kwamba ni majani makavu na hufikiri juu ya fedha kana kwamba ni ubao uliooza.