sw_job_text_reg/41/22.txt

1 line
250 B
Plaintext

\v 22 Katika shingo yake kuna nguvu, na kitisho hucheza mbele yake. \v 23 Nofu za mwili wake zimeunganishwa pamoja; ziko imara katika yeye; wala haziwezi kuondolewa. \v 24 Moyo wake ni mgumu kama jiwe - hakika, ni mgumu kama jiwe la chini la kusagia.