sw_job_text_reg/41/19.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 19 Ndani ya mdomo wake hutoka miali ya mwanga, chembe za moto huruka nje. \v 20 Katika pua zake hutoka moshi kama chungu kinachotokota juu ya moto ambao umechochewa ili uwe na joto sana. \v 21 Pumzi yake huwasha mkaa na kuwa mwali; moto hutoka katika mdomo wake.