sw_job_text_reg/41/16.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 16 Moja li karibu na jingine na ya kuwa hakuna hewa inaweza kupita katikati yake. \v 17 Yameunganishwa moja kwa jingine; yamegandamana kwa pamoja, ili kwamba hayawezi kutenganishwa. \v 18 Mwanga hung'ara kutoka katika kupumua kwake; macho yake ni kama kope za mapambazuko ya asubuhi.