sw_job_text_reg/41/13.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 13 Nani awezaye kuiondoa ngozi yake? Nani anaweza kumchoma kwa silaha mara mbili? \v 14 Nani awezaye kuifungua milango ya uso wake, imezungukwa na meno yake ambayo yanaogofya? \v 15 Mgongo wake umefanywa kwa magamba yenye mistari, yamefungwa kwa pamoja kama chapa.