sw_job_text_reg/41/01.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 1 Je waweza kumvua mamba kwa ndoano ya samaki? Au kumfunga taya zake kwa kamba? \v 2 Je waweza kuweka kamba katika pua zake, au kumtoboa taya yake kwa ndoano? \v 3 Je atafanya maombi mengi kwako? Je atazungumza na wewe kwa maneno laini?