sw_job_text_reg/39/21.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 21 Hurarua kwa nguvu na kufurahia katika nguvu zake; hukimbia upesi kukutana na silaha. \v 22 Huidharau hofu na hashangazwi; huwa harudi nyuma kutoka katika upanga. \v 23 Podo hugongagonga ubavuni mwake, pamoja na mkuki unaong'aa na fumo.