sw_job_text_reg/39/16.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 16 Huyatendea vibaya makinda yake kana kwamba si yake; haogopi kwamba kazi yake yaweza kupotea bure, \v 17 kwasababu Mungu amemnyima hekima na hajampa ufahamu wowote. \v 18 Na wakati anapokimbia kwa haraka, huwacheka kwa dharau farasi na mpanda farasi wake.