sw_job_text_reg/39/05.txt

1 line
178 B
Plaintext

\v 5 Ni nani huwaacha punda mwitu waende huru? Je nani amevilegeza vifungo vya punda wepesi, \v 6 ni nyumba ya nani nimeifanya katika Araba, au nyumba yake katika nchi ya chumvi?