sw_job_text_reg/38/36.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 36 Ni nani ameweka hekima katika mawingu au ni nani ameweka ufahamu kwa ukungu? \v 37 Nani anaweza kuyahesabu mawingu kwa maarifa yake? Na ni nani awezaye kuvimwaga viriba vya anga \v 38 wakati mavumbi yanapoungana kuwa kitu kigumu na mabonge ya dunia yanaposhikama kwa pamoja?