sw_job_text_reg/38/31.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 31 Je unaweza kuzifunga minyororo ya Kilimia, au kuvifungua vifundo vya Orioni? \v 32 Je unaweza kuziongoza nyota kutokea katika nyakati zake? Je waweza kuongoza dubu pamoja na watoto wake? \v 33 Je unazijua sheria za anga? Wewe uliweza kuanzisha sheria za anga juu ya dunia?