sw_job_text_reg/38/28.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 28 Je kuna baba wa mvua? Ni nani aliyeyafanya matone ya umande? \v 29 Je barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na ni nani aliyeizaa theluji nyeupe katika anga? \v 30 Maji hujificha menyewe na kuwa kama jiwe; sehemu za juu za vilindi huwa kama barafu.