sw_job_text_reg/38/22.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 22 Je ulishaingia katika ghala ya barafu, au umeshaiona ghala ya mawe ya mvua, \v 23 vitu hivi nimeviweka kwa ajili ya siku za mateso, kwa siku za mapigano na vita? \v 24 Je iko wapi njia ya mshindo wa mwanga hutokea au je upepo husambazwa kutoka mashariki juu ya dunia?