sw_job_text_reg/38/16.txt

1 line
268 B
Plaintext

\v 16 Je umeshaenda kwenye vyanzo vya maji ya bahari? Je umeshatembea sehemu za chini kabisa za kilindi? \v 17 Je malango ya mauti yamefunuliwa kwako? Je umeshaona malango ya uvuli wa mauti? \v 18 Je umeifahamu dunia katika upana wake? Niambie kama unayajua yote hayo.