sw_job_text_reg/38/12.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 12 Je tangu mwanzo wa siku zako, ulishawahi kuigiza asubuhi ianze, na kuyafanya mapambazuko yajue sehemu yake katika mpangilio wa vitu, \v 13 ili kwamba ishikilie sehemu za dunia ili watu waovu watikiswe mbali nayo.