sw_job_text_reg/38/01.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 1 Ndipo Yahweh alimwita Ayubu kutoka katika dhoruba kali na kumwambia, \v 2 "Huyu ni nani aletaye giza katika mipango kwa njia ya maneno bila maarifa? \v 3 Basi sasa jifunge kiunoni mwako kama mwanaume kwa kuwa nitakuuliza maswali, nawe lazima unijibu.