sw_job_text_reg/37/07.txt

1 line
299 B
Plaintext

\v 7 Huuzuia mkono wa kila mtu usifanye kazi, ili kwamba watu wote aliowaumba wataona matendo yake. \v 8 Kisha hayawani huenda na kujificha na kukaa katika mapango yake. \v 9 Dhoruba hutoka katika chumba chake upande wa kusini na baridi kutoka katika pepo zilizotawanyika katika upande wa Kaskazini.