sw_job_text_reg/37/01.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 1 Hakika, moyo wangu hutetemeka kwa hili; umeondolewa kutoka katika sehemu yake. \v 2 Sikia, Ee, Sikia kelele za sauti yake, sauti inayotoka katika mdomo wake. \v 3 Huiagiza sauti chini ya mbingu yote, na huutuma mwanga wake katika mipaka ya dunia.