sw_job_text_reg/31/38.txt

1 line
281 B
Plaintext

\v 38 Kama nchi yangu ingelia dhidi yangu, na matuta yake yaomboleza pamoja, \v 39 ikiwa nimekula mavuno yake bila kulipia au kama nimesababisha wamiliki wake kupoteza maisha yao, \v 40 ndipo miiba na iote badala ya ngano na magugu badala ya shayiri." Maneno ya Ayubu yamemalizika.