sw_job_text_reg/31/35.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 35 Ee, kama nilikuwa na mtu wa kunisikiliza! Ona, hii ni saini yangu; na Mwenye nguvu na anijibu! Ikiwa nilikuwa na shitaka rasmi ambalo adui yangu ameliandika! \v 36 Hakika ningelibeba hadharani juu ya bega langu; ningeliweka juu kama taji. \v 37 Ningemweleza hesabu ya hatua zangu; na kama mwana wa mfalme mwenye kujiamini ningepanda kwenda kwake.