sw_job_text_reg/31/16.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 16 kama nimewanyima watu masikini matakwa yao, au kama nimesababisha macho ya wajane yafifie kwa kulia, \v 17 au ikiwa kama nimekula kipande changu na sijawaruhusu wale wasio na baba kukila pia - \v 18 kwasababu tangu ujana wangu yatima walikua pamoja nami kama kuwa na baba, nami nimemwongoza mama yake, mjane, tangu katika tumbo la mama yangu mwenyewe.