|
\v 7 Kama hatua zangu zimegeuka kutoka katika njia sahihi, kama moyo wangu umetembea kwa kufuata macho yangu, na kama doa lolote la uchafu limeng'ang'ania katika mikono yangu, \v 8 na kisha mimi nipande na mtu mwingine na ale; mavuno na yang'olewe katika shamba langu. |