sw_job_text_reg/30/27.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 27 Moyo wangu umetaabika na hautulii; siku za mateso zimenipata. \v 28 Nimekuwa na ngozi nyeusi lakini si kwa sababu ya jua; nasimama katika kusanyiko na kulilia msaada. \v 29 Nimekuwa ndugu kwa mbwea, mshirika wa mbuni.