sw_job_text_reg/30/20.txt

1 line
152 B
Plaintext

\v 20 Nakulilia wewe, Mungu, lakini haunijibu; ninasimama, nawe unaniangalia tu. \v 21 Umegeuka na kuwa mkali kwangu; kwa nguvu za mkono wako umenitesa.