sw_job_text_reg/30/16.txt

1 line
161 B
Plaintext

\v 16 Sasa uhai wangu umeondolewa ndani yangu; siku nyingi za maumivu zimenipita. \v 17 Mifupa inauma ndani yangu wakati wa usiku; maumivu yanayonisaga hayaishi.