sw_job_text_reg/30/01.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 1 Sasa vijana wananidhihaki - vijana ambao baba zao wasingeweza hata kuwahudumia mbwa wa kundi langu. \v 2 Kwa kweli, nguvu za mikono ya baba zao, zingenisaidia nini - watu ambao hawakuwa na nguvu wakati wa kukua kwao? \v 3 Walidhoofishwa na umasikini na njaa; walisaga nchi kavu mafichoni.