sw_job_text_reg/27/18.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 18 Hujenga nyumba yake kama buibui, kama kibanda cha muda afanyacho mlinzi. \v 19 Hulala kitandani akiwa tajiri, lakini hataendelea hivyo; na afumbuapo macho, hana kitu.