sw_job_text_reg/27/15.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 15 Wanaomsalia watauawa kwa tauni, na wajane wao hawatawaombolezea. \v 16 Japokuwa waovu hurundika mali kama mavumbi, \v 17 na kukusanya mavazi kama udongo, atakusanya mavazi, lakini mwenye haki atavaa, na wasio na hatia watagawana mali.