sw_job_text_reg/27/08.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 8 Kwani tumaini la mwovu ni nini Mungu anapomwondoa, Mungu anapochukua uhai wake? \v 9 Je Mungu atasikiliza kilio chake tabu zinapompat? \v 10 Je atajifurahisha katika Mwenyezi na kumwita Mungu nyakati zote